Tangazo la ukamilishaji wa uingiaji wa watumiaji
This page is kept for historical interest. Any policies mentioned may be obsolete. If you want to revive the topic, you can use the talk page or start a discussion on the community forum. |
Timu ya mafundi wa Shirika la Wikimaedia kwa sasa inafanya mabadiliko ya namna ambavyo akaunti zitafanya kazi, kama sehemu ya harakati zinazoendelea za kuweka zana nzuri kwa watumiaji wetu (kama cross-wiki kuarifiwa).Mabadiliko haya yatamaanisha watumiaji wana wanajina moja katika kila mradi. mfumo huu utatupa uwezo wa kuku makala mpya ambapo utakusaidia kuhariri na kufanya majadiliano vizuri, na utaruhusu watumiaji wengi zaidi kuwapa zana. Moja ya sharti la awali ni kwamba akaunti za watumiaji sasa zitakuwa harisi katika miradi yote 900 ya Wikimedia wikis.
Kwa bahati mbaya, baadhi ya akaunti nyingi si yo harisi katika miradi yetu mingi ya wiki, lakini badala yake wanawadharau wale wenye akaunti majina harisi. Kuhakikisha kwamba watumiaji wote hawa wanaweza kutumia wikimedia wikis katika siku za usoni, tutakuwa tunayapa majinayote namba maalumu "~” na majina yao ya kwenye wikis yakuwa mwisho wa majina ya akaunti zao. mabadiliko haya yataanza kuanzia tarehe 27 May 2013. Kwa mfano, mtumiaji anaitwa "Ngosha" kwenye mradi wa kiswedish Wikitionary ambaye sasa jina lake litakuwa “Nyanda~svwiktionary”.
Akaunti zote zitafanya kazi kama ilivyokuwa awali, na zitaendelea kuhesbika kwa hariri zote kama zilivyo. hata hivyo, watumiaji waliowekewa majina kwenye akaunti zao (ambao watakuwa wanawasiliana baina ya mtu na mtu)watalazimika kutumia akaunti mpya wanapo ingia.
Sasa itawezekana tu kwa akaunti kupewa jina kimataifa; zana ya jina la mtumiaji haitafanya kazi kwa kuwa akaunti zote zitakuwa katika hadhi ya kipekee kiamataifa-kwa hiyo itaondolewa kutika ukilitimba wa seti ya zana. mara itakapokuwa imeanza kazi, bado itawezekana kwa mtumiaji Kufanya mabadiliko ya jina hapa kwenye meta, kama hawapendelei katika majina yao ya mtumiaji.