Fundraising 2012/Translation/Landing Page and Banner messages
Pages for translation: [edit status] | |
Jimmy Appeal (source) |
Ready |
Landing Page and Banner messages (source) |
Ready |
Donor information pages (source) All languages | Missing - Please Translate |
- Banners round one
- Tafadhali saidia
- Soma Sasa
- Tafadhali soma:
Barua kutoka kwa Jimmy Wales
mwanzilishi wa Wikipedia - Faida si nia ya Wikipedia. Hata hivyo, ni tovuti namba 5 zinazotumika sana duniani. Inahudumia milioni 450 ya watu kila mwezi. Ili kuhifadhi uhuru wetu, hatutaruhusu matangazo ya kibiashara.
Google na Yahoo zina maelfu ya seva na wafanyakazi. Sisi tuna seva kama 800 na wafanyakazi kama 150.
Iwapo kila anayesoma hii angechangia $5, basi tungeomba mchango huu siku moja tu katika mwaka. Tafadhali changia kuifanya Wikipedia iendelee kuwa bure na huru. - Faida si nia ya Wikipedia. Hata hivyo, ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni 450 hutembelea tovuti yetu. Ili kuhifadhi uhuru wetu, hatutaruhusu matangazo ya biashara.
Pengine Google ina mashine za seva karibu milioni 1, Yahoo wana wafanyakazi 12,000. Sisi katika Wikipedia tuna seva 800 na wafanyakazi 150.
Iwapo kila anayesoma hii angechangia $5, basi tungeomba mchango huu siku moja tu katika mwaka. Tafadhali changia kuifanya Wikipedia iendelee kuwa bure na huru.
- Banners and LP's Round 2
- Barua kutoka kwa mwandishi wa Wikipedia
- Barua kutoka kwa mwandishi wa Wikipedia
- mchango wa wastani
- Faida si nia ya Wikipedia. Hata hivyo, ni tovuti namba 5 zinazotumika sana duniani, inayohudumia milioni 480 ya watu kila mwezi. Gharama za huduma hii ni gharama za seva, umeme, kodi, programu, wafanyakazi na ushauri wa kisheria.
Ili kuhifadhi uhuru wetu, hatutaruhusu matangazo ya kibiashara. Hatupokei michango kutoka kwa serikali. Tunaendesha kwa michango: $5 ni mchango wa uliozoeleka, na wastani ni kiasi cha $30.
Iwapo kila anayesoma hii angechangia $5, basi tungefika kikomo cha ombi letu la michango katika muda wa saa moja tu. Tafadhali changia ili tumalize shughuli za kuomba michango na kurudi katika shughuli za kuendeleza Wikipedia. - Iwapo kila anayesoma hii angechangia $5, basi tungefika kikomo cha ombi letu la michango katika muda wa saa moja tu. Tafadhali changia ili tumalize shughuli za kuomba michango na kurudi katika shughuli za kuendeleza Wikipedia.
- Privacy policy notice
- Kwa kuchangia kwako, unagawana habari na Shirika la Wikimedia, shirika lisilo la kiserikali ambalo linamiliki Wikipedia na miradi mingine ya Wikimedia, na msambazaji wa huduma huko nchini Marekani na kwingineko kwa mujibu wa sera ya faragha.
- Hatuuzi wala hatubadilishani habari zako na mtu yeyote yule. Kwa habari zaidi, tafadhali soma sera ya uchangishaji: <http://wikimediafoundation.org/wiki/Donor_policy/en>.
- Where your donation goes box text
- Mahali mchango wako unaenda
- Teknolojia: Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulinganisha na gharama za kuendesha tovuti zingine kubwa.
- Watu: Tovuti zingine kati ya 10 kubwa zina maelfu ya wafanyakazi. Sisi tuna 140, kwa hiyo mchango wako unafanyiwa kazi sana katika shirika fanisi lisiloendeshwa ili kuchuma faida.