Template:Main Page/Intro/sw

Meta-Wiki

Karibu kwenye Meta-Wiki, ni wavuti ya jumuia ya miradi ya Wikimedia Foundation na miradi yake mingine inayohusiana, kuanzia uratibu na utunzaji wa hati na uchambuzi wa mipango kwa ajili ya Wikimedia.

Wiki zingine ambazo meta pia hutazamia ni pamoja na Wikimedia Outreach na Wikimedia Strategy miradi maalumu ambayo ina mizizi yake katika Meta-Wiki. Majadiliano yanayohusiana na Meta nayo huchukua nafasi yake katika orodha ya utumiwaji wa barua-pepe za Wikimedia (hasa katika wikimedia-l, ikiwa na usawa mdogo wa utembelewaji wa watu wa WikimediaAnnounce), Idhaa ya IRC kwenye freenode, wiki moja baada ya nyingine na chapter zake, n.k.