Dhamira
Dhamira ya Shirika la Wikimedia inafafanua kuhusiana na kazi zetu za sasa na madhumuni, wigo wa miradi yetu, misingi ya thamani yetu, imeimarika katika "Mtazamo thabiti". Dhamira yetu, ufafanuzi katika makala fupi zilizoingizwa na kuthibitishwa na azimio la Booi Mwaka 2007,
Dhamira ya Shirika la Wikimedia ni kuwezesha na kushirikisha watu duniani kukusanya na maendeleo ya elimu yaliyomo kwenye leseni huru ama inayomilikiwa na jamii, na kuisambaza kwa ufanisi kimataifa.
Katika kushirikiana na Mitandao ya Mashirika ya Wikimedia ya nchi, Shirika la Wikimedia miundo mbinu kutoa mwongozo wa kimfumo katika kusaidia na kuleta maendeleo ya Lugha mbalimbali na Miradi yetu pamoja na jithada ambazo hulinda dhamira hii. Shirika litatengeneza na kuweka habari zote muhimu kutoka miradi inayopatikana kwenye intaneti bure, kwa muda wote.
Mapendekezo ya kufanya mabadiliko ya maneno kwenye maelezo yatafanyika penye Ulegevu na mapitio yatafanyika angalau kila mwaka.
Angalia pia sheria zetu ndogo ndogo,Muono, na thamani.