Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia 2013

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections 2013 and the translation is 100% complete.
Info The election ended 22 June 2013. No more votes will be accepted.

The results were announced on 24 June 2013.

Help translate the election.

Utaratibu

Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia utafanyika kuanzia tarehe 8 to 22, Jun 2013.Wanachama wa Jumuiya ya Wikimedia wana nafasi ya kuchagua wagombea kwa nafasi tatu zinazogombewa:

  • Wajumbe watatu wa Baraza la wadhaminiambao watalitumikia Shirika kwa muhula wa miaka miwili utakao ishia mwaka 2015. Baraza la Wadhamini ni chombo chenye mamlaka ya mwisho ya Shirika la Wikimedia,ambalo ni Shirika lisilola kiserikali lililosajiliwa nchini Marekani na kupata Hati ya usajili namba a501(c)(3). Shirika la Wikimedia linaendesha miradi mbalimbali ikiwemo ya Wikipedia na haki bure.
  • Wagombea wawili wa nafasi ya Kamati ya kusimamia ugawaji Ruzukuambao watalitumikia Shirika kwa muhula wa miaka miwiliutakao ishia mwaka 2015.
  • Mgombea mmoja kwa nafasi yaUandaaji wa taratibu na upembuzi wa FDCambao watalitumikia Shirika kwa muhula wa miaka miwili

utakaoishia mwaka 2015.

Uchaguzi hufanyika kwa njia salama kwa kutumia programu ya Secure Poll. Kura ni siri ya mpigaji, Si mjumbe wa kamati ya uchaguzi, wa Bodi, na hata kama ni mfanya kazi wa shirika la Wikimedia hahusiki. Mchakato wa hufanyika chini ya mshrika wa tatu; na mara ikiwa activated, Uchaguzi husitishwa. Baadhi ya mbegu za wapiga kura husibitishwa (kwa mfano, anuani ya IP, wakala wa mtumiaji, na baadhi ya mbegu ambazo huangaliwa na chombo cha kuangalia watumiaji ) huangaliw ana kundi la watu ambao wamechaguliwa kwa ajili ya kukagua na kutangaza matokeo ya uchaguzi (kamati ya Uchaguzi). Wapiga kura hupiga kura kwa kutumia chombo cha msaada/huru/Mfumo wa kupinga. Kura zitahesabiwa na wagombea watapatikana kwa njia ya wingi wa kuungwa mkono, kwa kuangatia jinsi namba ya kura zilizopigwa kwa kuungwa mkono na wagombea kuklingana na kura zilizopigwa kwa wagombea , ("bila upande"). Wagombea watakae pata asilimia nyingi ya waungaji mkono watakuwa wamependekezwa moja kwa moja kuwa wajumbe wa Baraza la Wadhamini.

Kamati ya Uchaguzi itatangaza matokeo kabla ya tarehe 28 Juni 2013. matokeo yote yatatangazwa.

Maelezo kwa Wapiga kura

Mahitaji

Wahariri

Mtapiga kura katika moja wapo ya miradi ya Wikimedia wiki uliyosajili akaunti, Utapiga kura mara moja tu, bila kujali una akaunti ngapi ulizojisajili, ili kuwa na sifa,hii akaunti yako ni muhimu:

  • akaunt yako imefungiwa zaidi ya mradi mmoja; na
  • akaunt yako isiwe imefungiwa kwenye mradi unaoutumia kupiga kura; na
  • akaunt yako isiwe bot; na
  • angalau akaunti yako iwe imesha hariri maneno yasiyopungua 300 kabla ya tarehe 15, april 2013 kupitia miradi ya Wikimedia (hata kama utakuwa umehariri katika miradi mingine basi itjumlishwa na kuhesabiwa kwenye Grobal akaunti); na
  • angalau akaunti hiyo iwe imehariri maneno yasiyo pungua 20 kati ya tarehe 15, Disemba 2012 na tarehe 30, april 2013.
Waendelexaji

waendeleszaji watastahili kupiga kura ikiwa tu:

  • wawe watendaji wa sever ya Wikimedia na kupata ganda; au
  • angalau wawe walijiunga kati ya 1, may 2012 na 30, Aril 2013.
Watumishi na waliona mkataba

watumishi wote wa wikimedia na waliokatika mkataba wanaruhusiwa kupiga kura iwapo waliajiliwa katika shirika tarehe 30 April th 2013.

Wajumbe wa bodi na wajumbe wa bodi ya Ushauri waaliopo na wajumbe wa zamani wa Baraza la Wadhamini na wale wa Baraza la Ushauri wanaruhusiwa kupiga kura.

Maelezo kwa wagombea

Wagombea wote ni muhimu wakatimiza mahitaji ya wapiga kura, kama vile majukumu maalum yanayohitajika. hairuhusiwi kugombea zaidi ya cheo kimoja

  • Bofya hapa ili kupata maelezo kuhusiana na wagombea wa Baraza la Wadhamini.
  • Bofya hapa ili kupata maelezo kuhusiana na wagombea wa kamati ya kusimamia ugawaji wa ruzuku
  • Bofya hapa ili kupata maelezo kuhusiana na wagombea wa na fasi Mjumbe mratibu wa FDC

Shirika

Kalenda ya matukio

  • Tarehe 24 April – 17 May 2013: Wagombea kuwasilisha maombi yao;
  • Tarehe 17 May 2013: Mwisho wa kuwasilisha ushahidi wa utambulisho wao(Tendo lolote la kuwasilisha nje ya muda uliowekwa ama kutoambatanisha nyaraka maombi hayo yatatupwa)
  • Tarehe 8–22 June 2013: ni siku ya Uchaguzi
  • Tarehe 23–25 June 2013: Siku ya kuangalia kura zilizopigwa;
  • tarehe 25–28 June 2013: kutangaza matokeo

Kama unasifa ya kupiga kura:

  1. Soma maelezo ya wagombea kisha amua mgombea yupi unamuunga mkono.
  2. nenda kwenye ukurasa wa wiki maalum:mahali pa salama pa kupigia kura kwenye mradi ambao unastahili kupigia kura. Kwa mfano, kama upo hai katika miradi ya wiki meta.wikimedia.orgnenda kwenye meta.wikimedia.org/wiki/Special:Securepoll.
  3. fuata maelekezo katika ukurasa huo.

Ungali na tatizo la upigaji kura? Bofya hapa.