Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia/Baraza la Wadhamini/Maswali 2013

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/Board elections/2013/Questions and the translation is 100% complete.
Info The election ended 22 June 2013. No more votes will be accepted.

The results were announced on 24 June 2013.

Help translate the election.

Maelekezo

Tunawataka wapiga kura , maswali mafupi ya maana na yanoeleweka. Maswali yoyote ambayo yatakuwa hayalengi Baraza la Wadhamini yataondolewa kwa mujibu wa mamlaka ya kamati ya uchaguzi. Tafadhali zingatia muda ili wagombea wapate muda wa kujibu, na muda pia ambao wapiga kura watapata nafasi ya kusoma majibu hayo.

Tafadhali usitumie swali ambalo umeliuliza kwenye nafasi ya wagombea kisha ukaliuliza kwa nafasi nyingione na ( kuuliza swali lisilohusiana,ama kuwasiliana na wagombea kupitia anuani zao au kupitia barua pepe). Unaweza kuuliza swali katika lugha yoyote ile; kama ni lazima, Kamati ya Uchaguzi itatafuta wafasili wa lugha. [$Link Click here|Bofya hapa] kuuliza swali

Wagombea

Inasisitizwa kwamba swali lisizidi maneno 1600 kwa kila swali(nafasi za uchapaji hazihesabiki). Tafadhali usielekeze swali lako katika maeneo zaida ya ulilokusudia, hata hivyo matumizi ya linki kwa lengo la kuonesha kumbukumbu za swali lako hizo zinaruhusiwa. kulingana na namba za wapiga kura na wagombea, ni muhimu kuziweka kurasa hizi kwa kusomeka vyema, zenye kuelezeka na baadaye ili zitumike kwa wapiga kura.

Uelekezi

Kwa kusomeka kirahisi, kurasa za maswali zikatwa katika mafungu mafupimafupi, na kila fungu likiwa na mwaswali 10 na majibu ya wagombea.