Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia 2015

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections 2015 and the translation is 29% complete.
Info The election ended 31 Mei 2015. No more votes will be accepted.
The results were announced on 5 Juni 2015. Please consider submitting any feedback regarding the 2015 election on the election's post mortem page.

Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia kwa mwaka 2015 mwezi wa tano.Wanachama wa jamii ya Wikimedia watakuwa fulsa ya kuwachagua wagombea wa Baraza la Wadhamini, Kamati ya utoaji ruzuku na Afisa msaidizi wa Kamati ya utoaji ruzuku.

Mchakato

Uchaguzi hufanyika kwa njia salama kwa kutumia programu ya Secure Poll. Kura ni siri ya mpigaji, Si mjumbe wa kamati ya uchaguzi, wa Bodi, na hata kama ni mfanya kazi wa shirika la Wikimedia hahusiki. Mchakato wa hufanyika chini ya mshrika wa tatu; na mara ikiwa activated, Uchaguzi husitishwa. Baadhi ya mbegu za wapiga kura husibitishwa (kwa mfano, anuani ya IP, wakala wa mtumiaji, na baadhi ya mbegu ambazo huangaliwa na chombo cha kuangalia watumiaji ) huangaliw ana kundi la watu ambao wamechaguliwa kwa ajili ya kukagua na kutangaza matokeo ya uchaguzi (kamati ya Uchaguzi). Wapiga kura hupiga kura kwa kutumia chombo cha msaada/huru/Mfumo wa kupinga. Kura zitahesabiwa na wagombea watapatikana kwa njia ya wingi wa kuungwa mkono, kwa kuangatia jinsi namba ya kura zilizopigwa kwa kuungwa mkono na wagombea kuklingana na kura zilizopigwa kwa wagombea , ("bila upande"). Wagombea watakae pata asilimia nyingi ya waungaji mkono watakuwa wamependekezwa moja kwa moja kuwa wajumbe wa Baraza la Wadhamini.

Uchaguzi wa Kamati ya utoaji ruzuku

kuanzia tarehe 3 mpaka 10 May 2015, wanachama wa Jamii ya Wikimedia watakuwa na fulsa ya kupiga kura ya kugua kamati ya utoaji ruzuku kwa:

Kamati ya uchaguzi itatangaza matokeokabla au kati tarehe 15 mwezi wa tano 2015.

Uchaguzi wa Baraza la wadhamini

Kuanzia tarehe 17 hadi tarehe 31 Mwezi wa tano 2015, wanachama wa Jumuiya ya wikimedia watapata fulsa ya kuchagua wajumbe wa Baraza la wadhamini

  • Wajumbe watatu wa Baraza la Wadhamini kutumia miaka miwili ambayo itakoma mwaka 2017. Baraza la Wadhamini nichombo chenye mamlaka ya mwisho katika shirika la Wikimedia, a 501(c)(3) lisilotengeza faida lililosajiliwa nchini Marekani. Shirika la Wikimedia linasimamia miradi mingiWikipedia na mambokawaida.

Kamati ya Uchaguzi itatangaza matokeo kati ya au kabla ya 5 June 2015. Matokeo yataonyeshwa.

Information for voters

 

How to vote

If you are eligible to vote:

  1. Read the candidate presentations and decide which candidates you will support.
  2. Go to the SecurePoll voting page.
  3. Follow the instructions.
Bado unapata matatizo ukipiga kura? Bofya hapa.

Requirements

Editors

You may vote from any one registered account you own on a Wikimedia wiki. You may only vote once, regardless of how many accounts you own. To qualify, this one account must: * not be blocked on more than one project; * and not be a bot;

  • and have made at least 300 edits before 15 April 2015 across Wikimedia wikis (edits on several wikis can be combined if your accounts are unified into a global account);
  • and have made at least 20 edits between 15 October 2014 and 15 April 2015.

The AccountEligibility tool can be used to quickly verify basic editor voting eligibility.

Developers

Developers qualify to vote if they:

  • Are Wikimedia server administrators with shell access;
  • Or have commit access and have made at least one merged commits in git to Wikimedia Foundation utilized repos between 15 October 2014 and 15 April 2015.
Wikimedia Foundation staff and contractors

Current Wikimedia Foundation staff and contractors qualify to vote if they have been employed by the Foundation as of 15 April 2015.

Wikimedia Foundation board members, Advisory board members, FDC committee members

Current and former members of the Wikimedia Foundation Board of Trustees, the Wikimedia Foundation Advisory Board and the Funds Dissemination Committee are qualified to vote.

Information for nominators

Do you know someone who you think would be a good candidate? If so, you can nominate them for the position!

Information for candidates

All candidates must meet the requirements for voters, as well as role–specific requirements. Multiple candidacies are not permitted.

Organization

Timeline

Funds Dissemination Committee elections

  • 30 April 2015: Deadline for candidate submissions and identification verification
  • 30 April – 2 May 2015: Questions and discussion between candidates and community
  • 3–10 May: Voting
  • 11–15 May: Vote-checking
  • 15 May: Goal for announcement of results

Board of Trustees elections

  • 5 May: Deadline for candidate submissions and Identification verification
  • 5–16 May: Questions and discussion between candidates and community
  • 17–31 May: Voting
  • 1–5 June: Vote-checking
  • 5 June: Goal for announcement of results

See also