Bodi ya Wadhamini ya Mradi wa Wikimedia
Wikimedia Foundation staff and contractors participate with the volunteer community in maintaining this page's content. |
Bodi ya wadhamini ya Mradi wa Wikimedia yaa (BoT) inajukumu la kuangalia mradi wa Wikimedia na kazi zake, na sheria zake ndogondogo.
Muundo
Bodi iliundwa mnamo mwaka 2003 ikiwa na wadhamini watatu, na tangu mwaka 2020 bodi inajumuisha wadhamini 16 kumi na sita. inachangua maofisa kutoka kwa wadhamini: Mwenyekiti, nafasi mbili ya makamu wenye viti, na wenyekiti wa kamati. Bodi pia ina teua maofisa nje na wadhamini: Mkurugenzi mkuu, Mhadhini mkuu, na Katibu. Baadhi ya shughuri za bodi ni pamoja na Maazimio na uchaguzi. Kazi nyingine hukabidhiwa kwenye kamati mbalimbali kama vile Utawala, ukaguzi, vipaji na utamaduni, Kamati ya bidhaa na tekinolojia na kamati ya maadili ya jamii.
Kwasasa uanachama wa Bodi unajumuisha:
- 1 (Moja) KIti cha mwanzirishi imehifadhiwa kwaajili ya Jimmy Wales;
- 7 (Saba) viti kwaajili ya walio chaguliwa na Bodi kwakuzingatia taaluma husika ikizingatia Board Governance Committee kamati ya uongozi; na
- 8 (Nane) Viti kwaajili ya wajumbe walio chaguliwa na jumuia na washirika
Kamati
- Kamati ya Ukaguzi ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Kamati ya Utawala wa Bodi ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Kamati ya Vipaji na Utamaduni ya Wikimedia Foundation (Charter)
- Kamati ya Bidhaa na Teknolojia ya Wikimedia Foundation (Charter)
- Kamati ya Masuala ya Jamii ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Kamati ya Ukaguzi ya Wikimedia Foundation (Mkataba)
- Mawasiliano ya sasa: Lorenzo Losa, Mike Peel, Nataliia Tymkiv
- Kamati ya Uchaguzi
- Uhusiano kwa sasa: Nataliia Tymkiv
- Kamati ya Lugha (Mkataba)
- Mawasiliano ya sasa: Nataliia Tymkiv, Victoria Doronina
- Wikimedia Human Rights Policy
- Current liaison: Esra'a Al Shafei (to Wikimedia Foundation internal committee)
Kuwasiliana na Bodi
Kuna Ubao wa matangazo ya kushiriki maombi na mapendekezo. Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na Bodi kupitia ubao wa matangazo. Unaweza kuwasiliana na Mradi wa Wikimedia wenyewe kwanjia kadhaa kama ilivyoainishwa kwenye contact|page.
Wanachama kwa sasa
- Notes:
- ↑ Baraza la Wadhamini/Tangazo la Urekebishaji, Aprili 2008
Wanachama wazamani
Maelezo zaidi
- Orodha ya mikutano ya Bodi (pamoja na nakala)
- Orodha ya maazimio ya Bodi
- Mchakato wa majadiliano ya bodi
- Muundo wa Bodi ya Wadhamini
- Mawasilisho ya Wanachama wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation
- Insha na majadiliano juu ya uanachama bora: