This page is a translated version of the page Grants:IdeaLab/Inspire and the translation is 100% complete.
Inspire
Kuhusiana na Kampeni Hamasishi

Kampeni za Kuhamasisha ni matukio ya muda mrefu katika mwezi yakizingatia juhudi za pamoja katika changamoto kubwa za harakati za Wikimedia. Huu ni wakati wa kushiriki na kuunda mawazo mapya.

Baada ya kampeni, grants are available kugeukia mawazo haya kwa hatua za pamoja. Katika mipango ambayo haiitaji fedha, utayarishwaji wa vifaa upo.

Je! kaulimbiu ya sasa ni ipi?

Kwenye kampeni hii, tunakaribisha maoni yako kuhusiana na jinsi ya kutathmini hali ya jamii ya uhariri wako.

Mipango mizuri inaleta ubora wa juu wa utengenezaji maudhui, heshima ya ushirikiano, utendaji kazi kiufanisi na utatuzi bora wa migogoro. Mifano ya nadharia ambayo inapelekea mhariri kuchanganyikiwa, utunzi mbaya wa mhariri, utendaji wa kazi mbaya na migogoro isiyo na suluhu inaonesha kua si hali nzuri.

Ikiwa kama harakati, Wana-Wikimedia wamekua wakitathmini mambo ya jamii zao. Taarifa inaonyesha kwa mfano kiwango cha shuguli za mhariri, watumiaji wapya na tunzi za mhariri zinakusanywa mara kwa mara. Kipindi hizi takwimu zinatoa baadhi ya viashiria kuhusu hali ya mpango, hazitoi uelewa wa kina kwenye changamoto na maeneo maalu yanayohitaji maboresho.

Tunahitaji kukusanya taarifa amabazo zina tathmini mipango kikamilifu, kama vile takwimu zote za uhariri, lakini pia tunahitaji kuzingatia mazingira madogo, maalum na michakato ambayo wahariri wanakutana nayo katika kazi zao.

Kama una maoni yoyote kuhusiana na hali ya jamii, tafadhali shiriki katika kampeni hii ya sasa!

Maswali kuhusu kampeni hii au Kampeni za Kuhamasisha kiujumla? Tafadhali rejea the FAQ page .

Mawazo mapya




































































































The current Inspire Campaign is closed. You are welcome to continue providing feedback, revising ideas, and moving any ideas that need funding into grant applications. Be sure to review guidance to develop your idea further.

Outcomes

The Inspire Campaign on Measuring Community Health had several successful outcomes, including:

  • Strong participation in a more technical and research-oriented campaign (over 100 submitted ideas, and more than 240 participants who endorsed, commented on, or proposed ideas)
  • Contributors from over 35 different countries – including some emerging communities – had ideas to measure community health represented in this campaign.
  • Direct support of participants through proposal-specific guidance and support on idea talk pages by Community Resources and Trust & Safety teams.
  • Broader support offered to all Inspire Campaign and IdeaLab participants through the development and sharing of guidance on how to develop ideas into concrete plan for implementation.

Some progress so far on ideas from this campaign includes:



For information on previous campaigns, please see the campaign archive.


ideas created: 105
participants: 242
days left: 0