VisualEditor/Newsletter/2021/June/sw
Editing news 2021 #2
Soma katika lugha nyingine • Orodha ya usajili kwa ajili ya jarida hili la lugha nyingi
Mwanzoni mwa mwaka huu timu ya kuhariri ilifanya utafiti mkubwa wa kifaa cha mrejesho. Lengo kuu likiwa nikugundua kama kifaa cha mrejesho kinasaidia wahariri wapya kuwasiliana kwenye Wiki. Lengo la pili lilikua nikuona kama maoni ambayo wahariri wapya walitoa wakiwa wanatumia kifaa hicho yanahitajika kurejeshwa mara nyingi zaidi kuliko maoni ambayo wahariri wapya waliotoa katika kurasa ya kuhariri ya Wikitext.
Matokeo yalikua:
- Wahariri wapya ambao walikuwa na ufikiaji wa kiotomatiki ("chaguo-msingi") katika kifaa cha mrejesho walikuwa na uwezo mkubwa wa kuchapisha maoni kwenye ukurasa wa majadiliano.
- The comments that newer editors made with the Reply Tool were also less likely to be reverted than the comments that newer editors made with page editing.
Matokeo haya yaliwapa timu ya kuhariri kujiamini kwamba kifaa hichi kinasaidia.
Tukitazama mbele
Timu inapanga kufanya kifaa cha mrejesho kipatikane kwa kila mtu kama upendeleo wa kuchagua katika miezi ijayo. Hii tayari imetokea katika Wikipedia za Kiarabu, Kicheki, na Hungaria.
The next step is to resolve a technical challenge. Then, they will deploy the Reply tool first to the Wikipedias that participated in the study. After that, they will deploy it, in stages, to the other Wikipedias and all WMF-hosted wikis.
You can turn on "Discussion tools" in Beta Features now. After you get the Reply tool, you can change your preferences at any time in Special:Preferences#mw-prefsection-editing-discussion.