Mawakili/Uchaguzi 2015
< Stewards
The following discussion is closed: This election is closed and these pages are an archive of that event.
- Wasimamizi wapya hupigiwa kura karibu mara moja kila mwaka. Wasimamizi hufanya kazi ya kiufundi katika "wiki" zote za Wikimedia kulingana na makubaliano ya kijamii na Sera ya Wasimamizi* kubadilisha fursa ya mtumiaji, kuangalia habari za mtumiaji katika suala la unyanyasaji na vinginevyo (angalia maelezo).
- Kuhusu maelezo zaidi kuhusu kupiga kura, kutafsiri, au kuwa mgombea, soma miongozo. Unaweza kutazama ustahili wako wa kupiga kura.
- Mawasilisho ya wagombea yako wazi kuanzia 15 Januari 2015, 00:00 (UTC) hadi 28 Januari 2015, 23:59 (UTC). Maswali kwa wagombea yanaweza kuwasilishwa hadi (election ends)
- Upigaji wa kura utaanza katika 08 Februari 2015, 18:00 (UTC) na utamalizika katika 28 Februari 2015, 17:59 (UTC). Wagombea wanapaswa kusoma miongozo na kupigiwa angalau kura 30 pamoja na uwiano wa usaidizi wa 80%. Unaweza kufuatilia matokeo na takwimu zilizokusanywa.
- Mchakato wa uthibitisho wa mawakili wa sasa unaendelezwa pamoja na upigaji wa kura.
Kielelezo
- Maelezo ya Wagombea wote (bila kura)
Mgombea | Ndiyo | Hapana | Sio fungamana | Maswali | Matokeo |
---|---|---|---|---|---|
Avjoska | Yes | No | Neutral | Questions | Not elected |
Cekli829 | Yes | No | Neutral | Questions | Not elected |
DidiWeidmann | Yes | No | Neutral | Questions | Not elected |
Einsbor | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Jusjih | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Linedwell | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
MarcoAurelio | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Mys_721tx | Yes | No | Neutral | Questions | Not elected |
Natuur12 | Yes | No | Neutral | Questions | Not elected |
Pmlineditor | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Ruy Pugliesi | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Stryn | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Taketa | Yes | No | Neutral | Questions | Elected |
Vodomar | Yes | No | Neutral | Questions | Not elected |
Confirmation of current Stewards |
Waliojiondoa
Wagombea wafuatao wamejiondoa kugombea
- Hakuna
Walioondolewa kwa kukosa sifa
Wagombea wafuatao wamekosa sifa za kuwa wagombea kwa mujibu wa Miongozo na wameondolewa kabisa
Mgombea | Matokeo |
---|---|
Vinodtiwari2608 | Disqualified |
Kamati ya uchaguzi
Mawakili huandaa Chaguzi wao wenyewe. The Baraza la Wadhamini Liliidhinisha mwaka 2009 kwamba watajiepusha na uthiishaji wa matokeo ya Uchaguzi mpya. Hata hivyo, mawakili huanzisha kamati ya Uchaguzi kwa kila Uchaguzi ambayo huhusisha wajitoleaji kwa ajili ya kazi ifuatayo:
- Kufunga Uchaguzi wa Mawakili;
- Kuthibitisha matokeo ya Uchaguzi, baada ya kuhesabiwa kwa kura zote, mara baada ya kura zote zilizopigwa kwa wagombea kujirisha kwa kila kura ilivyo pigwa;
- Kwa wagombea wote bwaliochaguliwa;
- Kufunga uthibitisho wa mawakili;
- Baada ya uthibitisho wa mawakili, kulingana na uzito wa kijamii, na baadae huamua ama kuthibitisha wao au hapana
Wajumbe
- DerHexer (talk · contribs)
- Mathonius (talk · contribs)
- MF-Warburg (talk · contribs)
- QuiteUnusual (talk · contribs)
- Snowolf (talk · contribs)
Kusaidia maandalizi ya uchaguzi wa Mawakili 2015, tafadhali angalia ukurasa wa uratibu .
kamaunahitaji msaada, kuwa huru kuuliza kwenye $irc-Njia au Ukurasa wa majadiliano.
Results
Results: The following candidates were elected as stewards:
- Einsbor (talk · contribs)
- Jusjih (talk · contribs)
- Linedwell (talk · contribs)
- MarcoAurelio (talk · contribs)
- Pmlineditor (talk · contribs)
- Ruy Pugliesi (talk · contribs)
- Stryn (talk · contribs)
- Taketa (talk · contribs)