Mpango wa IPv6/Tangazo la siku ya IPv6 2012
Masasisho juu ya IPv6
Hamjambo nyote,
Juni 6, 2012 ni siku ya IPv6 (http://www.worldipv6day.org/). Lengo la tukio hili ya kimataifa ni kuhamisha ISPs(Mtoaji Huduma za Wavuti) zaidi, wazalishaji wa vifaa na huduma za mtandao ya kufuata mpango wa kudumu wa IPv6.
Sisi tunapanga kufanya uzalishaji mdogo wa kupima IPv6 wakati wa Berlin Hackathon 2012 (Juni 2-3). Kwa kuzingatia kwa idadi ya masuala ya tunayokabiliana nayo yanaweza kudhibitiwa, tunaweza kikamilifu kuwezesha IPv6 siku ya IPv6, na kuiwacha imewezeshwa.
Mediawiki imetumika na IPv6 na makundi mengine ya wiki kwa muda. Wikimedia inatumia mpangilio wa miundo ya ziada (GlobalBlocking, CheckUser, etc.) ambayo haikuwa tayari kwa IPv6 mpaka majuzi. Aidha, sisi ni tunafanya kazi ya kuhakikisha kwamba huduma zote za Wikimedia mbalimbali (orodha za barua pepe, blogu, nk) ni IPv6 tayari.
Nini matokeo ya mtumiaji itakuwa?
Angalau katika muda wa Juni 2-3, unaweza ona namba chache ya hariri kutoka kwa anwani za IPv6, ambazo ziko katika muundo "2001:0db8:85a3:0000:0000:8a2e:0370:7334
". Tazama w:IPv6 address.
Hizi anwani lazima ziishi kama anwani nyingine yoyote ya IP : Unaweza kuacha ujumbe katika kurasa zao za majadiliano, unaweza kufuatilia michango yao, unaweza kuwazuia . Nukuu hii katika CIDR inaungwa mkono kwa ajili ya rangeblocks.
Kumbuka jambo muhimu kuhusu kuzuia: mtumiaji mmoja anaweza kupata idadi kubwa ya anwani kuliko katika mtindo IPv4. Hii inamaanisha kwamba kuzuia kwa viatalu (kwa mfano kwa "/64") lazima kutekelezwa katika kesi zaidi ya kuzuia matumizi mabaya na watumiaji wa kisasa zaidi.
Katika muda wa katikati, hati za mtumiaji na zana zinazotumia maneno rahisi ya mara kwa mara ili kufanana na anwani ya IPv4 yanahitaji kurekebishwa ili IPv6 iishi kwa usahihi. Tunahisi kuwa matumizi ya IPv6 yatakuwa chini sana awali, kwa maana kuwa matumizi mabaya ya lazima yasimamiwe, na sisi kusaidia katika ufuatiliaji wa hali hiyo.
Mtumiaji: Jasper Deng anadumisha uchambuzi wa kina wa matokeo ya muda mrefu ya uhamiaji kwa IPv6 hapa: w:en:User:Jasper Deng/IPv6
Tumeweza kuanzisha wiki ya kipimo ambapo unaweza kuona anwani itifaki za IPv6. Hii inafanya kazi kwa ya kutoa, anwani bandia ya IPv6 wakati unapotembelea wiki, na utapata kuona tabia ya zana mbalimbali na muundo mpya wa anwani: http://ipv6test.wmflabs.org/wiki/index.php/Main_Page
Njia bora ya kuripoti masuala ni kuyaandikisha katika Bugzilla na kuhakikisha kwamba yana alama kama blockers kwa mdudu wa kufuatilia wa IPv6: https://bugzilla.wikimedia.org/show_bug.cgi?id=35540
Tutaweza post masasisho kwa wikitech-l na mahali pengine pafaapo.
Kila la heri,
Erik
--
VP of Engineering and Product Development, Wikimedia Foundation
(June 1, 2012)