Stewards/Elections 2016/Introduction/sw

This page is a translated version of the page Stewards/Elections 2016/Introduction and the translation is 67% complete.
Outdated translations are marked like this.

  • Wasimamizi wapya hupigiwa kura karibu mara moja kila mwaka. Wasimamizi hufanya kazi ya kiufundi katika "wiki" zote za Wikimedia kulingana na makubaliano ya kijamii na Sera ya Wasimamizi* kubadilisha fursa ya mtumiaji, kuangalia habari za mtumiaji katika suala la unyanyasaji na vinginevyo (angalia maelezo).
  • Mawasilisho ya wagombea yako wazi kuanzia 15 Januari 2016, 00:00 (UTC) hadi 28 Januari 2016, 23:59 (UTC). Maswali kwa wagombea yanaweza kuwasilishwa hadi (election ends)
  • Upigaji wa kura utaanza katika 08 Februari 2016, 14:00 (UTC) na utamalizika katika 28 Februari 2016, 13:59 (UTC). Wagombea wanapaswa kusoma miongozo na kupigiwa angalau kura 30 pamoja na uwiano wa usaidizi wa 80%. Unaweza kufuatilia matokeo na takwimu zilizokusanywa.