Chaguzi za Shirika la Wikimedia/2022/Tangazo/Kipindi cha Upigaji Kura wa Jumuiya kwa Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini wa 2022 sasa kimefunguliwa

Outdated translations are marked like this.

Kipindi cha Upigaji Kura wa Jumuiya cha Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini wa 2022 sasa kimefunguliwa

Unaweza kupata ujumbe huu ukitafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki.


Habarini nyote,

Kipindi cha Upigaji Kura wa Jumuiya kwa Uchaguzi wa 2022 wa Bodi ya Wadhamini sasa kimefunguliwa

Ikiwa uko tayari kupiga kura, unaweza kwenda kwenye ukurasa wa kupigia kura wa SecurePoll ili kupiga kura sasa. Unaweza kupiga kura kuanzia tarehe 16 Agosti hadi tarehe 30 Agosti 2022 23:59 UTC. Ili kuona kuhusu ustahiki wako wa mpiga kura, tafadhali tembelea ukurasa wa ustahiki wa mpiga kura.

Wenu,

Mkakati wa Harakati na Utawala

Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kikosi Kazi cha Uteuzi wa Bodi na Kamati ya Uchaguzi