Wikimedia Foundation elections/2021/2021-08-27/Second board voter e-mail/sw
From: Kamati ya Chaguzi za Wikimedia Foundation <board-elections@lists.wikimedia.org>
Kumbuka kupiga kura katika Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation kwa mwaka 2021
Mpendwa $USERNAME,
Unapokea barua pepe hii kwasababu wewe unazo sifa za kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation kwa mwaka 2021. Uchaguzi ulifunguliwa Agosti 18, 2021 na utafungwa ifikapo Agosti 31,2021
Shirika la Wikimedia Foundation linaendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECT na shirika hili linaongozwa na Bodi ya Wadhamini. Hii ndiyo bodi ifanyayo maamuzi ya Shirika la Wikimedia Foundation. Jifunze zaidi kuhusiana na Bodi ya Wadhamini.
Mwaka huu kuna viti vinne ambavyo jumuiya zitavipigia kura. Wagombea kumi na tisa kutoka duniani kote wanawania viti hivyo.Jifunze zaidi kuhusu Wagombea wa viti vya Bodi ya Wadhamini kwa mwaka 2021.
Karibia wanajamii 70,000 kutoka jumuiya mbalimbali wameombwa kupiga kura. Mwaliko huo unakuhusu wewe pia! Zoezi la upigaji kura litafungwa ifikapo Agosti 31, 2021 muda wa saa 23:59 UTC.
Nenda kapige kura katika [$SERVER/wiki/Special:SecurePoll/vote/Wikimedia_Foundation_Board_Elections_2021 SecurePoll on $ACTIVEPROJECT].
Kama umekwisha piga kura, asante kwa kupiga kura na tafadhali puuza barua pepe hii. Watu wanaweza kupiga kura mara moja tu bila kujali wanamiliki akaunti ngapi.
Soma taarifa zaidi kuhusu uchaguzi huu.
Imesainiwa,
Kamati ya Uchaguzi
Barua pepe hii imetumwa kwako kwakuwa ulijiandikisha na barua pepe yako kwenye miradi ya Wikimedia Foundation. Ili kutokupata tena ujumbe kama huu kwa wakati ujao, tafadhari ongeza jina lako la mtumiaji kwenye orodha ya watu wasiopata jumbe za Wikimedia.
Plain text version
Mpendwa $USERNAME, Unapokea barua pepe hii kwasababu wewe unazo sifa za kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation kwa mwaka 2021. Uchaguzi umefunguliwa Agosti 18, 2021 na utafungwa ifikapo Agosti 31,2021. Shirika la Wikimedia Foundation linaendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECT na shirika hili linaongozwa na Bodi ya Wadhamini. Hii ndiyo bodi ifanyayo maamuzi ya Shirika la Wikimedia Foundation.Jifunze zaidi kuhusiana na Bodi ya Wadhamini: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Foundation_Board_of_Trustees/Overview> Mwaka huu kuna viti vinne ambavyo jumuiya itavipigia kura. Wagombea kumi na tisa kutoka duniani kote wanawania viti hivyo.Jifunze zaidi kuhusu Wagombea wa viti vya Bodi ya Wadhamini kwa mwaka 2021: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Foundation_elections/2021/Candidates#Candidate_Table> Karibia wanajamii 70,000 kutoka jumuiya mbalimbali wameombwa kupiga kura. Mwaliko huo unakuhusu wewe pia! Zoezi la upigaji kura litafungwa ifikapo Agosti 31, 2021 muda wa saa 23:59 UTC. Nenda kapige kura katika Eneo lako salama la kupigia kura katika $ACTIVEPROJECT: <$SERVER/wiki/Special:SecurePoll/vote/Wikimedia_Foundation_Board_Elections_2021> Kama umekwisha piga kura, asante kwa kupiga kura na tafadhali puuza barua pepe hii. Watu wanaweza kupiga kura mara moja tu bila kujali wanamiliki akaunti ngapi. Soma taarifa zaidi kuhusiana na uchaguzi huu: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2021/Board_of_Trustees>. Imesainiwa, Kamati ya Uchaguzi -- Barua pepe hii imetumwa kwako kwakuwa ulijiandikisha na barua pepe yako kwenye miradi ya Wikimedia Foundation. Ili kutokupata tena ujumbe kama huu kwa wakati ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye orodha ya watu wasiopata jumbe za Wikimedia <https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_nomail_list>.