Movement Charter/Drafting Committee/Elections/Results/Announcement/sw

This page is a translated version of the page Movement Charter/Drafting Committee/Elections/Results/Announcement and the translation is 100% complete.

Kutana na Wanachama wapya wa Kamati ya Kuandaa Hati ya Vuguvugu

Uchaguzi na mchakato wa uteuzi wa Kamati ya Kuandika Hati ya Movement umekamilika.

Kamati hiyo itakutana hivi karibuni kuanza kazi yake. Kamati inaweza kuteua hadi wajumbe watatu zaidi ili kuziba tofauti na mapungufu ya kitaalamu.

Ikiwa ungependa kujihusisha na mchakato wa kuandaa Mkataba wa Movement, fuata masasisho kwenye Meta na ujiunge na [cha Telegram].

Kwa shukrani kutoka kwa timu ya Mkakati wa Harakati na Utawala