Wikimedia Foundation Uchaguzi/2024/Tangazo/Mapitio ya kanuni - yamefungwa

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2024/Announcement/Rules package review - closing and the translation is 100% complete.

Asante kwa maoni yako kuhusu Bodi ya kanuni na uteuzi wa wadhamini wa Wikimedia Foundation 2024

Unaweza kupata ujumbe huu katika lugha nyingine kwenye Meta-wiki.

Wapendwa wote,

Asante kwa kila mtu ambaye alipitia Bodi ya kanuni za uteuzi wa wadhamini ya Wikimedia Foundation. Ushiriki wako katika majadiliano yamehifadhiwa na kamati ya Uchaguzi na maoni wanayohitaji ili kurekebisha sheria kama inavyohitajika. Habari zaidi zitatolewa tutakapo pata majibu kutoka Bodi uteuzi.

Wenu,

Katie Chan
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi