Chaguzi za Wikimedia Foundation/2022/Matukio

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2022/Events and the translation is 75% complete.

Matukio yaliyopangwa

== Matukio ya yatarajiwayo ==

Historia ya matukio ya kampeni

Wakati wa Wito wa Maoni kuhusu uchaguzi wa Baraza la Wadhamini, wanajamii kadhaa walisema wangependa kuwa na mazungumzo ambapo wagombea hujibu maswali kutoka kwa wanajumuiya.

Mnamo 2021, timu ya Mkakati wa Harakati na Utawala inayounga mkono uchaguzi wa Bodi ilijaribu kitu kama hicho. Matukio ya aina hii hayakuwa ya kawaida wakati wa uchaguzi wa Bodi. Matukio hayo yalitokana na wazo la kuwapa wanajamii fursa zaidi za kuwasiliana na watahiniwa. Idadi ya watahiniwa, muda mfupi wa kupanga, na kujaribu kutumikia maeneo mengi yenye saa tofautitofauti kulisababisha matukio ya fujo. Asante kwa kila mtu aliyeshiriki na kutoa maoni ili kuboresha mchakato wa 2022.

Revision for the 2022 Board of Trustees Election

Community members can learn more about candidates during the 2022 Board of Trustees election. Candidates will record videos answering 6 community-selected questions. Community members are encouraged to propose questions by 25 July 2022 and endorse the questions they would like to see included in the videos by 26 July 2022.