Uchaguzi wa Wikimedia Foundation / 2021 / 2021-07-02 / Matokeo ya uchaguzi 2021/Fupi

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2021/2021-09-07/2021 Election Results/Short and the translation is 100% complete.

The election ended 31 Agosti 2021. No more votes will be accepted.
The results were announced on 7 Septemba 2021. Please consider submitting any feedback regarding the 2021 election on the elections' post analysis page.

2021 Board Elections
Main Page
Candidates
Voting information
Single Transferable Vote
Results
Discussions
FAQ
Questions
Organization
Translation
Documentation
This box: view · talk · edit

Matokeo ya uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation

 

Shukrani sana kwa wote walioshiriki katika uchaguzi wa bodi wa mwaka 2021. Kamati ya uchaguzi imepitia kura za Uchaguzi wa bodi ya Wikimedia Foundation 2021, iliyoandaliwa kuchagua wadhamini wanne. Rekodi ya watu 6,873 kutoka kazi mradi 214 wameweza kushiriki katika upigaji kura halali. Wagombea hawa wanne wameweza kupokea kura nyingi zaidi:

  1. Rosie Stephenson-Goodknight
  2. Victoria Doronina
  3. Dariusz Jemielniak
  4. Lorenzo Losa

Wakati wagombea hawa wameorodheshwa kupitia kura ya jamii, bado hawajateuliwa kwa Bodi ya Wadhamini. Bado wanahitaji kupitishwa katika ukaguzi wa hsitoria yao ili waweze kufikia sifa zilizoainishwa katika Sheria ndogo, Bodi imeweka tarehe ya kuteua wadhamini wapya mwishoni mwa mwezi huu.

Soma tangazo lote hapa