Wikimedia Foundation elections/2022/Translation/sw
This page coordinates translation of the 2022 Board elections pages. The election committee will try its best to find many translators to reduce their individual workload. If you have any problems or questions about translation, please leave a message on Talk:Wikimedia Foundation elections/2022/Translation.
Mwongozo wa kupiga kura
Pata maelezo zaidi kuhusu wagombea
Uchaguzi huu utasababisha wagombea wawili kuchaguliwa kwenye Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia.
- Uchaguzi huu unatumia mbinu ya Kura Moja Inayohamishika ("STV"). Kuna maelezo ya mchakato wa kukokotoa kwenye Meta-Wiki.
- Kwenye ukurasa wa kupiga kura kuna msururu wa visanduku vya kushuka. Kuanzia juu ya ukurasa, chagua wagombea kwa kufuatana na upendeleo, kutoka kwa "Pendeleo 1" (inayopendelewa zaidi) hadi "Mapendeleo 6" (inayopendelewa zaidi).
- Huhitaji kupigia kura kila mgombea. Unaweza kuacha kuorodhesha wagombea wakati wowote. Kwa mfano, unaweza kuchagua kuorodhesha mgombea mmoja pekee, au wagombea wanne, au wagombea wote.
- Unaruhusiwa kubadilisha kura yako wakati wa uchaguzi. Hii itafuta kura yako ya awali. Unaweza kufanya hivyo mara nyingi unavyopenda.
Backup
Kwa maelezo ya jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi huu, bofya hapa.
Candidate names
- Farah Jack Mustaklem
- Kunal Mehta
- Michał Buczyński
- Mike Peel
- Shani Evenstein Sigalov
- Tobechukwu Precious Friday
Other material
- title: Chaguzi za Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia 2022
- jump-text: Kura itafanywa kwa wiki kuu. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kuhamishwa.
- return-text: Liko la chaguzi za Shirika la Wikimedia 2022
- unqualified-error: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapiga kura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa usaidizi wa mpiga kura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapiga kura ikiwa unastahiki.
- candidates: Wagombea wa bodi