Ukurasa shirikishi wa Wanawake

This page is a translated version of the page WikiWomen's Collaborative and the translation is 61% complete.
Outdated translations are marked like this.

Jiunge na makubaliano

Follow us on Facebook Follow us on Twitter Follow us on our Community blog

WikiWomen's Collaborative
   Kujitolea
   Kuhusu
   Habari
   Maelekezo
Jitolee katika kushiriki wanawakewiki

Ukurasa shirikishi wa wanawakewiki ni mradi wa kujitolea tunahitaji msaada wako hamasiha, shiriki na ungamkono wanawake wengi zaidi kuweza kushiriki katika vuguvugu la mradi wa wikipedia.

kuwa mwanamtandao

Je unayo shauku ya kubadilishana weledi na dunia kuhusu na wikipedia, au unajua wanawake ni kina nani? badilishana uzoefu ulionao, uzoefu wao, historia ya mafanikio yako, au mazungumzo kutoka katika mtandao wetu.
jumuika,

Kuwa kiungo cha mtandao

Waratibu wa mtandao huingiza wanamtandao wengi kuandikia kwenye ukurasa wa wanawake wiki, husaidia kuandaa maingizo yao kuchapishwa, na kuhakikisha kwamba mara kwa mara wanachapisha mazungumzo mapya kila wiki. waratibu wananamna yao ya kuona vuguvugu la kinachotoke, na kuwasiliana na wanamtandao wengine popote duniani na kuhamasishana!
kuwa miongoni,

Kuwa admin wa mtandao wa facebook

Saidia kuufanya mtandao wetu wa facebook kuwa ni kiungo muhimu cha kijamii kwa wanawakewiki duniani. Watendaji wa mtandao wa facebook huandaa maudhui, kubadilishana picha, na kukuza ukurasa wa mtandao wa facebook na kushirikisha wanawake wengi zaidi katika majadiliano!
kuwa miongoni,

Tafasili

Bila kuwa na watafasili wa lugha, hapatakuwa na ushirikishanaji wa kweli kimataifa. kujitolea kufanya tafasili ya mitandao, Maingizo ya lugha mbalimbali kwenye Tweets na facebook, na kuwasaidia wanawake waoongea na kuhariri katika lugha zaidi ya 240.
kuwa miongoni

Kuhusiana na ushirikishanaji na kwa nini tupo hapa
Kwa mkutano wa 2012, tazama wikiwomenCamp

Ushirikishanaji wa WanawakeWiki ni mradi wa kijamii ulioanzishwa na wanawake duniani ambao hufanya uhariri wa ukurasa wa wikipedia pamoja na miradi mingine ya Wikimedia na tukitaka kuwashawishi na wengine kufanya vilevile. Wachangiaji wengi wa wikipedia ni wanaume mpaka sasa, shirika la wikimedia liligundia kwamba ni {{{link text}}}tu, Hii haukuasili sana jumuiya wahariri na wale wa kujitoleailimaanisha kwamba maudhui haya yaliifanya jamii kuongezeka na kufikia wahariri 240 wa lugha mbalimbali. hii ilitokana vuguvugu la uhamasishaji wa wanawake, Ni matumaini yetu kwamba uanzishwa wa maeneo haya ya kujitoa na kubadilishana na kuungana mkono kati ya huyu na yule, tunaweza kuongeza wanawake wengi zaidi wa kuchangia wikipedia.


Kutana na washirika katika ushirikishanaji wa Wanawakewiki

[Make a profile]