Timezone: +00:00
Event:Saa ya Ofisi ya Zana za Mratibu 5/Kipindi B
Organizer Tools Office Hour 5/Session B
Start and end time
18:00, 10 October 2023 to 19:30, 10 October 2023
Location
Online event
Join event chat group
No chat group is available for this event.
Tafadhali jiunge na timu ya Kampeni katika Shirika la Wikimedia kwa saa za kazi za OCTOBER 10, 2023 (Tazama tarehe na saa hii katika saa za eneo) kwenye zana za mratibu! Katika saa hizi za kazi, tutaelezea kazi yetu na kukusanya maoni kutoka kwa Wanawikimedia, ili tuweze kujifunza zaidi kuhusu jinsi tunavyoweza kuboresha tukio la kampeni. Baadhi ya mipango ya saa hii ya ofisi ni pamoja na:
- Jifunze kuhusu zana ya usajili wa tukio, ili uweze kutumia zana katika matukio yako
- Tazama onyesho la vipengele vipya zaidi vya zana ya usajili wa tukio, ambavyo ni pamoja na:
- Kuunganishwa na Dashibodi ya Mipango na Matukio
- Mratibu anaweza kutuma barua pepe kwa washiriki
- Washiriki wanaweza kujibu maswali ya hiari kuhusu wao wenyewe
- Shirikisha mawazo na maoni yako kwa mradi wetu ujao wa ugunduzi wa tukio
Jaribisha zana ya usajili wa tukio sasa!
Unaweza kujaribu zana ya usajili wa tukio sasa kwa kujiandikisha kwa saa hii ya ofisi! Ili kufanya hivyo, bofya kitufe cha "Jiandikishe kwa tukio" juu ya ukurasa.
Nani atawasilisha saa za kazi?
-
Antoni Mtavangu
Balozi wa Bidhaa kwa jumuiya za Waswahili -
Georges Fodouop
Balozi wa Bidhaa kwa jumuiya za Kifaransa -
M. Bachounda
Balozi wa Bidhaa kwa jumuiya za Kiarabu -
Ilana Fried
Meneja Mkuu wa Bidhaa