Talk:Wikimedia Community User Group Tanzania/Universal Code of Conduct

Culture diversity!,Community develipment.also a community to develop it should be governed by certain rules and regulations. I think universal code of conduct shall be applied to our developing Wikipedia community user group Tanzania. Olimasy (talk) 06:05, 26 January 2020 (UTC)Reply

Universal Code of Conduct

edit

wazo zuri na linatakiwa kufanyiwa kazi kwa sababu sheria ni muhimuLoveness Alexander (talk) 12:32, 25 January 2020 (UTC)Reply

Universal Code of Conduct

edit

Thank you very much. And guidance is good for human life because we are so many different people with different personalities and everyone of his or her own now if you decide to set a minimum rule that will help us respect one another regardless of our gender and regardless of our gender. I think if we have the guidance and the rules it will lead us to succeed and develop this wikipedia.Thanks Simon Shemlondwa (talk) 12:59, 25 January 2020 (UTC)Reply

Ukurasa huu unalenga nini?

edit

Asante kwa kazi hii ila ningependa kuuliza ukurasa huu unalenga nini? Je, kundi la Wikimedia la Dar es Salaam linahitaji mwongozo?

Kama wanawikipedia wanachangia kwenye Wikipedia ya Kiingereza, wako chini cha mwongozo wa enwiki. Kama wanachangia kwa Kiswahili, wako chini ya mwongozo wa swwiki. Kwa lugha nyingine kuna mahali pake.

Hapa sijaelewa bado: A) ni nini upande wa mwongozo wa enwiki ambayo haitoshi au ambayo ilileta matatizo? B) ni nini upande wa mwongozo wa Swwiki ambayo haitoshi au ambayo ilileta matatizo?

Michango kuhusu maswali haya inatakiwa kupelekwa kwenye kurasa husika za enwiki na swwiki. Hapa iko nafasi nzuri kuandaa michango lakini mahali pa majadiliano pako kule ambako jumuiya husika wanajadiliana. Kipala (talk) 14:52, 10 March 2020 (UTC)Reply

Naona maswali hapo juu yanahitaji kujibiwa. Jinsi ilivyo sioni bado faida kwa ajili ya wikipedia zetu ndogo kuunda Kanuni za Kimataifa. Kila jumuiya inapaswa kufanya majadiliano kwa lugha yake na kulingana na mazingira yake. Kipala (talk) 16:58, 10 March 2020 (UTC)Reply
Return to "Wikimedia Community User Group Tanzania/Universal Code of Conduct" page.