Fundraising 2011/Thank You Page/sw
Pages for translation: [edit status] | |||||||||
Interface messages high priority Translated on Translatewiki. Get started. |
In progress | ||||||||
Banners and LPs (source) high priority |
Published | ||||||||
Banners 2 (source) high priority |
In progress | ||||||||
Jimmy Letter 002 (source) high priority |
Published | ||||||||
Jimmy Letter 003 (source) variation of Jimmy Letter 002 |
Missing | ||||||||
Jimmy Letter 004 (source) variation of Jimmy Letter 002 |
Missing | ||||||||
Jimmy Mail (source) variation of Jimmy Letter 002 |
Missing | ||||||||
Brandon Letter (source) | In progress | ||||||||
Alan Letter (source) | In progress | ||||||||
Kaldari Letter (source) | Missing | ||||||||
Karthik Letter (source) | Missing | ||||||||
Thank You Mail (source) | In progress | ||||||||
Thank You Page (source) | Ready | ||||||||
Problems donating (source) | Missing | ||||||||
Recurring giving (source) | Missing | ||||||||
Sue Thank You (source) | Missing | ||||||||
FAQ (source) low priority |
In progress | ||||||||
Various requests: Mail to past donors · Jimmy quote | |||||||||
Outdated requests:
|
Translation instructions |
---|
If you have any questions or feedback regarding the translation process, please post them here. Translation FAQ |
Asante kwa mchango wako. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochaniliwa na wafanyakazi wao. Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!
Bank transfer
edit'Asante kwa mchango wako. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochaniliwa na wafanyakazi wao. Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!
Ukurasa huu si stakabadhi. Utapokea stakabadhi kwa barua pepe endapo Wikimedia Foundation itakamilisha kupokea mchango wako. Tafadhali kumbuka kwamba jina la mpokeaji katika taarifa zako za benki itakuwa 'Global Collect', ambaye ni kampuni inayotekeleza upokeaji wa michango yetu. Kumbuka kuweka namba ya rejeo uliopokea wakati unaowasilisha ombi la kuhawilisha fedha kwa benki yako. Kama ungependa kuuliza swali, tafadhali utume barua pepe kwa donate@wikimedia.org."
Direct debit
editAsante kwa mchango wako. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochangiliwa na wafanyakazi wao. Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!
Ukurasa huu si stakabadhi. Mchango wako inafanikiwa kazi. Utapokea stakabadhi kwa barua pepe endapo Wikimedia Foundation itakamilisha kupokea mchango wako. Kama ungependa kuuliza swali, tafadhali utume barua pepe kwa donate@wikimedia.org.
- Thank You / Stories
- Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochangiliwa na wafanyazazi wao.
Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree! - Ukiweka alama katika kisanduku hicho, unaruhusu Wikimedia Foundation iwasiliane nawe kuhusu habari ulizotoa, na kuitumia kutangaza Wikimedia Foundation na miradi yake.
- Si lazima
- Umri