Fundraising 2011/Banners and LPs/sw

Translation instructions
  • For pages marked "Missing" or "In progress", click the page title and start translating. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • For pages marked "Needs updating", compare the page to the source page and update the translation accordingly. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • It is important to have someone else proofread the translated page! If you have proofread a page and it is ready for publication, click "edit status" and change that page's status to ready.
  • If you are changing something that has already been published, change its status back to ready for it to be published again.

If you have any questions or feedback regarding the translation process, please post them here. Translation FAQ

Round one banners
  1. Soma sasa
  2. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa Jimmy Wales
    mwanzilishi wa Wikipedia!
  3. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa mwandishi wa bidhaa pepe
    ya Wikipedia Brandon Harris
  4. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa mwandishi wa
    makala 2,463 za Wikipedia
  5. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa mwandishi wa
    makala 549 za Wikipedia
  6. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa mwandishi wa
    bidhaa pepe ya Wikipedia Ryan Kaldari
  7. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa wafanyakazi wetu
  8. Tafadhali soma:
    Barua kutoka kwa mtafiti
    wa Wikipedia Maryana Pinchuk
Round one LP headers
  1. Maombi kutoka kwa Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia.
  2. Kutoka kwa mwandishi wa bidhaa pepe ya Wikipedia Brandon Harris
  3. Kutoka kwa mwandishi wa makala ya Wikipedia Alan Sohn
  4. Kutoka kwa kwandishi wa makala ya Wikipedia Susan Hewitt
  5. Kutoka kwamwandishi wa bidhaa pepe ya Wikipedia Ryan Kaldari
  6. Kutoka kwa wafanyakazi wa Wikimedia Foundation
  7. Kutoka kwa mtafiti wa Wikipedia Maryana Pinchuk
Where your donation goes
  1. Mambo yanayogharimiwa na mchango wako
  2. Teknolojia: Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulinganisha na gharama za kuendesha tovuti zingine kubwa
  3. Watu: Tovuti zingine kati ya 10 kubwa zina maelfu ya wafanyakazi. Sisi hatuna hata 100, kwa hiyo mchango wako unafanyiwa kazi sana katika shirika fanisi lisiloendeshwa ili kuchuma faida.