Universal Code of Conduct/Mapitio ya Rasimu

This page is a translated version of the page Universal Code of Conduct/Policy text and the translation is 14% complete.
Outdated translations are marked like this.
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Bahasa Melayu • ‎Chi-Chewa • ‎Deutsch • ‎English • ‎Esperanto • ‎Hausa • ‎Igbo • ‎Kiswahili • ‎Kreyòl ayisyen • ‎Luganda • ‎Nederlands • ‎Setswana • ‎Tiếng Việt • ‎Türkçe • ‎Yorùbá • ‎azərbaycanca • ‎català • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎isiZulu • ‎italiano • ‎magyar • ‎polski • ‎português do Brasil • ‎română • ‎suomi • ‎svenska • ‎čeština • ‎Ελληνικά • ‎русский • ‎српски / srpski • ‎українська • ‎հայերեն • ‎עברית • ‎العربية • ‎فارسی • ‎नेपाली • ‎मराठी • ‎हिन्दी • ‎বাংলা • ‎ગુજરાતી • ‎தமிழ் • ‎తెలుగు • ‎ไทย • ‎ქართული • ‎中文 • ‎日本語 • ‎한국어
Universal Code of Conduct

Universal Code of Conduct

Why we have a Universal Code of Conduct

Mwongozo huu wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (UCoC) unatoa tafsiri ya tabia inayokubalika na isiyokubalika katika harakati za shirika la Wikimedia. Mwongozo huu utatumika kwa kila mmoja ambaye kwa namna moja ama nyingine anahusika na uchangiaji wa maudhui katika miradi ya Wikimedia Foundation mtandaoni , nje ya mtandao au katika sehemu yoyote ambapo shughuli za Wikimedia zinafanyika. Mwongozo huu utafuatwa na wanawikimedia wote yaani wachangiaji wapya na wazoefu, vyombo mbalimbali vya utendaji katika miradi ya Wikimedia Foundation, wafanyakazi na wajumbe wa bodi. Mwongozo huu pia utatumika katika mikutano yote yaani ya ana kwa na ile ya mtandaoni, sehemu mbalimbali ambazo miradi ya Wikimedia itakuwa ikifanyika, katika miradi yote ya Wikimedia pamoja na katika Wiki (Wikipedia) zote.

Tunataka jumuiya hizi kuwa na mawazo chanya, salama na mazingira wezeshi kwa yeyote anayejiunga nao. Pia, tunanuia kuilinda miradi yetu dhidi ya hao wanaoiharibu na kupotosha maudhui yaliyomo kwenye miradi yao.

Mwongozo wa UCoC utatumika kwa wanajumuiya wote bila ubaguzi wa aina yoyote. Kwenda kinyume na UCoC kunaweza kusababisha mtu husika kuwekewa vikwazo na wawakilishi na watendaji wa mradi husika (kulingana na mazingira ya kiutekelezaji wa jumuiya husika ) au shirika la Wikimedia Foundation lenyewe linaweza kuweka vikwazo hivyo likiwa kama mmiliki halali wa miradi yake.

Sambamba na utume wa Wikimedia, wote wanaojihusisha na miradi ya Wikimedia watafanya yafuatayo:

 • Kusaidia kutengeneza ulimwengu ambao ndani yake kila mmoja ataweza kushirikisha alichonacho katika jumla ya maarifa yote.
 • Kushiriki katika jumuiya za kimataifa, hii itaepusha ubaguzi na chuki na
 • Kujitahidi kuufikia usahihi na uthibitishaji katika kazi zao zote.

1 – Introduction

Hii inahusisha:

 • Mikusanyiko yote ya hadhara na ile ambayo kwa sehemu fulani inaonekana kuwa ni ya hadhara.
 • Majadiliano ya kutokukubaliana na maelezo ya mshikamano baina ya wanajumuiya/wanajamii.
 • Masuala ya maendeleo ya kiufundi
 • Masuala ya uchangiaji wa maudhui
 • Mambo ya kuwakilisha washirika/ jumuiya kwa washirika wa nje
 • Mahali ambapo hadhara inakutana na matukio, mikutano ya vyombo vya habari na mikutano ya kitaalam.

The Universal Code of Conduct applies equally to all Wikimedians without any exceptions. Actions that contradict the Universal Code of Conduct can result in sanctions. These may be imposed by designated functionaries (as appropriate in their local context) and/or by the Wikimedia Foundation as the legal owner of the platforms.

2 – Expected behaviour

Kila mwanawikimedia, bila kujali kama ni mchangiaji mgeni au mzoefu, mtendaji wa jumuiya, mshirika au mjumbe wa bodi wa WMF au mwajiriwa, atawajibika kwa tabia yake.

Katika miradi yote ya Wikimedia, maeneo mbalimbali na matukio, tabia itatakiwa kuwa kitu cha msingi kuzingatiwa ikiwa ni pamoja na utu, ujamaa, mshikamano na uraia mwema. Dhana hii itatumika kwa wachangiaji na washiriki wote kuhusu namna wanavyohusiana na wachangiaji pamoja na washiriki wengine bila ubaguzi wa kujali umri, kuwa sawa au na ulemavu kiakili, mwonekano wa nje wa mwili wa mtu, utaifa, udini, ukabila, asili ya kitamaduni, tabaka, tabaka la kijamii, uwezo wa kuongea lugha kwa ufasaha, mwelekeo wa kijinsia, utambulisho wa kijinsia, au eneo la kazi ambalo mtu anafanyia kazi. Wala hatutatakiwa kumtofautisha mtu kwa kigezo cha mafanikio, ujuzi au msimamo wake katika miradi ya Wikimedia au harakati zake.

2.1 – Mutual respect

Heshima ni kuonyesha kujali wengine. Katika kuwasiliana na watu, iwe katika mazingira ya mtandaoni au nje ya mtandao wa Wikimedia, tutawaheshimu kwa heshima kama vile na sisi tungetaka watuheshimu.

Hii ni pamoja na (na vingine ambavyo havijatajwa hapa, lakini vinafanana na hivi vilivyoelezwa hapa chini ):

 • *Jitahidi kuwa mwelewa. Sikiliza na jaribu kuelewa kile ambacho Mwanawikimedia yeyote anataka kukuambia. Kuwa tayari kuibua changamoto na kubadilisha uelewa wako mwenyewe, matarajio na tabia yako kama Mwanawikimedia.
 • Daima chukulia kitu kwa nia njema, na ushiriki katika uhariri mzuri wa kujenga, uhariri chanya. Toa na pokea maoni kwa upole na kwa nia njema. Ukosoaji unatakiwa ufanyike katika namna ya kujali, namna ya kujenga, na uhusishe mikakati halisi, yenye kupimika juu ya namna ya kuliboresha jambo unalolikosoa..
 • Heshimu vile wachangiaji wanavyopenda kujiita na kujielezea wenyewe. Watu wanaweza kutumia maneno fulani kujielezea wenyewe. Kama ishara ya heshima, tumia maneno haya pale unapowasiliana nao au unapoelezea kitu kinachowahusu watu hawa. Mfano inaweza kuwa:
  • Kundi fulani la kikabila linaweza kutumia jina fulani kujielezea lenyewe, badala ya jina la kihistoria linalotumiwa na watu wengine kuwaelezea watu hao.
  • Watu wenye majina yanayotumia herufi za kipekee, sauti/matamshi, au maneno kutoka katika lugha zao, na alama hizo zinaweza kuwa hazijazoeleka kwako.
  • Watu wanaojitambulisha kwa mwelekeo fulani wa kijinsia au utambulisho fulani wa kijinsia kwa kutumia majina au viwakilishi tofauti na ulivyovizoea.
  • Watu wanaojitambulisha kuwa wao wana ulemavu wa mwili au akili wanaweza kutumia maneno fulani kujielezea.
 • Katika mikutano ya ana kwa ana, tutajitahidi kumkaribisha kila mmoja na tutazingatia na kuheshimu upendeleo wa kila mmoja wetu, hisia za kila mmoja na mahitaji ya kila mmoja.
 • Assume good faith, and engage in constructive edits; your contributions should improve the quality of the project or work. Provide and receive feedback kindly and in good faith. Criticism should be delivered in a sensitive and constructive manner. All Wikimedians should assume unless evidence otherwise exists that others are here to collaboratively improve the projects, but this should not be used to justify statements with a harmful impact.
 • Respect the way that contributors name and describe themselves. People may use specific terms to describe themselves. As a sign of respect, use these terms when communicating with or about these people, where linguistically or technically feasible. Examples include:
  • Ethnic groups may use a specific name to describe themselves, rather than the name historically used by others;
  • People may have names that use letters, sounds, or words from their language which may be unfamiliar to you;
  • People who identify with a certain sexual orientation or gender identity using distinct names or pronouns;
  • People having a particular physical or mental disability may use particular terms to describe themselves
 • During in-person meetings, we will be welcoming to everyone and we will be mindful and respectful of each others’ preferences, boundaries, sensibilities, traditions and requirements.

2.2 - Utu, Ujamaa, mshikamano na uraia mwema

Utu ni kiwango cha juu cha adabu katika tabia na namna ya kuongea miongoni mwa watu, ikiwa ni pamoja na wageni.Ujamaa ni msaada wa kirafiki ambao watu wanaoshughulika na kufanikisha jambo fulani hupeana.Uraia mwema inamaanisha kuchukua jukumu la kuhakikisha kuwa miradi ya Wikimedia ni yenye tija, mahala pazuri na salama, na kuchangia katika kutimiza utume wa Wikimedia.

 • Civility is politeness in behaviour and speech amongst people, including strangers.
 • Collegiality is the friendly support that people engaged in a common effort extend to each other.
 • Mutual support and good citizenship means taking active responsibility for ensuring that the Wikimedia projects are productive, pleasant and safe spaces, and contribute to the Wikimedia mission.

Hii ni pamoja na(na vingine ambavyo havijatajwa hapa, lakini vinafanana na hivi vilivyoelezewa hapa chini)

 • Ushauri na ufundishaji:' Kusaidia wageni kuelewa wanachotakiwa kufanya na kupata ujuzi muhimu.
 • Onyesha mshikamano. Watafute wachangiaji wenzako, washike mkono pale wanapohitaji msaada, na wasemee pale wanapofanyiwa mambo ambayo yanakosa kiwango chetu.
 • Tambua na sifu kazi iliyofanywa na wachangiaji: Washukuru kwa msaada ambao wamekupa. Thamini juhudi zao na toa sifa pale inapostahili.
 • Mentorship and coaching: Helping newcomers to find their way and acquire essential skills.
 • Looking out for fellow contributors: Lend them a hand when they need support, and speak up for them when they are treated in a way that falls short of expected behaviour as per the Universal Code of Conduct.
 • Recognize and credit the work done by contributors: Thank them for their help and work. Appreciate their efforts and give credit where it is due.

3 – Unacceptable behavior

Mwongozo wa kimataifa wa Mwenendo na Maadili unalenga kuwasaidia wanajamii kutambua aina au hali zinazopelekea tabia kuwa mbaya au ya kiunyanyasaji katika harakati za Wikimedia.Tabia zifuatazo zinachukuliwa kama ni tabia zisizokubalika ndani ya harakati za Wikimedia:

3.1 – Harassment

Hii ni pamoja na tabia yoyote ambayo kimsingi lengo lake ni kumtisha, kumtia hasira au kumkasirisha mtu. Tabia inaweza kuchukuliwa kuwa ni ya kiunyanyasaji iwapo inavuka mpaka wa kawaida ambao mtu yeyote wa kawaida angetegemewa kuvumilia (huku hali ya kitamaduni ya watu husika ikizingatiwa ). Unyanyasaji mara nyingi huchukua hali ya uumizaji wa hisia, hususani kwa watu walio katika mazingira magumu.

 • *Matusi: Hii inahusisha uitanaji wa majina yasiyofaa, kupiga vijembe au ubaguzi, au mashambulizi yoyote yanayojikita katika kuongelea kwa ubaya sifa za mtu binafsi. Matusi yanaweza kulenga sifa za mambo kama vile akili, muonekano, kabila, rangi, dini, ulemavu, umri, utaifa, ushiriki wa kisiasa, au sifa zingine. Kwa muda mwingine, matani ya kurudia rudia, kejeli, au uchokozi vinaweza kuchukuliwa kama matusi kwa pamoja, hata kama matamko pekee katika umoja wake yasingeonekana kuwa tusi au matusi.
 • Unyanyasaji wa kijinsia: Kumtengenezea mtu dhana ya kimapenzi au utoaji wa kitu chochote kwa watu wengine kwa lengo la kupata malipo ya kimapenzi.
 • Vitisho:' Kutumia uwezekano wa unyanyasaji wa mwili, hatua za kisheria, fedheha isiyo ya haki, au kuchafua sifa ya mwingine ili kushinda hoja au kulazimisha mtu aenende kama utakavyo wewe.
 • Kuhamasisha madhara kwa wengine: Hii inahusisha kumshawishi mtu mwingine ajidhuru au ajiue vilevile kumshawishi mtu mwingine afanye madhara fulani kwa mtu mwingine.
 • Udukuzi wa taarifa binafsi: Hii inahusisha kuchapisha taarifa binafsi za watu wengine, kama vile jina, mahali, sehemu aliyoajiriwa, anuani au barua pepe, bila kuwa na idhini ya mhusika. Kiwango cha kimsingi kabisa kilichowekwa katika mwongozo huu ni kwamba mtu hatakiwi kamwe kuchapisha taarifa za mtu ambazo mtu huyo (mlengwa) amejaribu kuzifanya siri/binafsi zisichapishwe mtandaoni. Jumuiya zitakuwa na viwango vikubwa zaidi ya hiki na wanaweza kupendelea kuzuia uchapishwaji wa taarifa zilizoko kwingineko mtandaoni lakini hazijawekwa katika miradi ya Wikimedia na mhusika mwenyewe.
 • Ufuatiliaji: Kumfuatilia mtu katika mradi na kukosoa kazi zake kwa kurudia rudia kwa lengo la kumkasirisha au kumvunja moyo.
 • Ukatishaji wa mazungumzo: Uharibifu/ukatishaji wa makusudi wa mazungumzo ya watu au kuchapisha kitu kwa nia ovu ya kutaka kumchokoza mtu fulani.
 • Sexual harassment: Sexual attention or advances of any kind towards others where the person knows or reasonably should know that the attention is unwelcome or in situations where consent cannot be communicated.
 • Threats: Explicitly or implicitly suggesting the possibility of physical violence, unfair embarrassment, unfair and unjustified reputational harm, or intimidation by suggesting gratuitous legal action to win an argument or force someone to behave the way you want.
 • Encouraging harm to others: This includes encouraging someone else to commit self-harm or suicide as well as encouraging someone to conduct violent attacks on a third party.
 • Disclosure of personal data (Doxing): sharing other contributors' private information, such as name, place of employment, physical or email address without their explicit consent either on the Wikimedia projects or elsewhere, or sharing information concerning their Wikimedia activity outside the projects.
 • Hounding: following a person across the project(s) and repeatedly critiquing their work mainly with the intent to upset or discourage them. If problems are continuing after efforts to communicate and educate, communities may need to address them through established community processes.
 • Trolling: Deliberately disrupting conversations or posting in bad-faith to intentionally provoke.

3.2 – Abuse of power, privilege, or influence

Matumizi mabaya ya madaraka hutokea pale ambapo mtu mwenye wadhifa, hadhi au ushawishi fulani anajihusisha katika tabia isiyo na heshima, ukatili na vurugu kwa watu wengine. Katika mazingira ya Wikimedia mara nyingi inahusisha hali ya unyanyasaji wa kihisia (matusi, unyanyasaji wa kifikra, unyanyasaji wa kisaikolojia) na pia matumizi mabaya ya madaraka yanaweza kuingiliana na dhana ya unyanyasaji kwa ujumla.

 • Matumizi mabaya ya madaraka kwa watendaji, viongozi na wafanyakazi: Matumizi mabaya ya mamlaka, ujuzi au rasilimali wanazopewa watendaji wa miradi, pia kwa viongozi na wafanyakazi wa Wikimedia Foundation au Washirika wa Wikimedia kuwatisha au kuwaogopesha wengine, au kwa faida zao binafsi za vitu au zisizo za vitu.
 • Matumizi mabaya ya ukuu na kujuana: Hali ya mtu kutumia cheo chake na wadhifa wake kuwatishia wengine. Tunawaomba watu wenye uzoefu mkubwa na wenye kujuana na watu wengi katika harakati za Wikimedia kujiheshimu kwa makini kwasababu maoni ya uhasama yanaweza kubeba athari isiyokusudiwa ya kuunda vitisho kutoka kwa marafiki na wafuasi.
 • Ulagahai wa Kisaikolojia:Kitendo cha mtu/kikundi cha watu kufanya kitu fulani ili kumfanya mtu/watu watilie shaka maoni yao binafsi, akili zao, au uelewa wao. Watu wenye mamlaka ya kijamii wana fursa maalum ya kutazamwa kama watu waaminifu, na hawapaswi kutumia vibaya nafasi hii kuwashambulia wengine ambao hawakubaliani nao.
 • Abuse of office by functionaries, officials and staff: use of authority, knowledge, or resources at the disposal of designated functionaries, as well as officials and staff of the Wikimedia Foundation or Wikimedia affiliates, to intimidate or threaten others.
 • Abuse of seniority and connections: Using one's position and reputation to intimidate others. We expect people with significant experience and connections in the movement to behave with special care because hostile comments from them may carry an unintended backlash. People with community authority have a particular privilege to be viewed as reliable and should not abuse this to attack others who disagree with them.
 • Psychological manipulation: Maliciously causing someone to doubt their own perceptions, senses, or understanding with the objective to win an argument or force someone to behave the way you want.

3.3 - Wizi wa maudhui na matumizi mabaya ya miradi

Kuingiza taarifa zisizo sahihi kwa makusudi au taarifa zenye kuegamia upande mmoja katika miradi ya Wikimedia au kuzuia utengenezaji wa maudhui. Hii ni pamoja na; (na vingine ambavyo havijatajwa hapa, lakini vinafanana na hivi vilivyoelezewa hapa chini)

 • Tabia ya kuondoa maudhui ya Wikimedia bila ukaguzi yakinifu kutoka kwa kundi la wakaguzi wa maudhui au uondoaji wa maoni/mrejesho mzuri wenye lengo la kujenga.
 • Kuufanya mfumo uendeshe maudhui kwa namna ambayo mfumo huo utapindisha au kupendelea tafsiri ya ukweli au mtazamo fulani.
 • Kauli za chuki za aina yoyote ile zenye lengo la kudharau, kudhalilisha, au kuchochea chuki dhidi ya kikundi au tabaka la watu kwa misingi ya rangi, dini, rangi ya ngozi, utambulisho wa kijinsia, utambulisho wa jinsia, kabila, ulemavu, au asili ya utaifa
 • Uongezaji wa alama, picha, au maudhui usiokuwa na sababu na usio na uthibitisho kwa nia ya kuwatishia au kuwadhuru wengine.
 • The repeated arbitrary or unmotivated removal of any content without appropriate discussion or providing explanation
 • Systematically manipulating content to favour specific interpretations of facts or points of view (also by means of unfaithful or deliberately false rendering of sources and altering the correct way of composing editorial content)
 • Hate speech in any form, or discriminatory language aimed at vilifying, humiliating, inciting hatred against individuals or groups on the basis of who they are or their personal beliefs
 • The use of symbols, images, categories, tags or other kinds of content that are intimidating or harmful to others outside of the context of encyclopedic, informational use. This includes imposing schemes on content intended to marginalize or ostracize.