Meta:Wasimamizi/Uondoaji (kutotumika)
The following page is a translation of Meta-Wiki policy into Swahili language. Please note that in the event of any differences in meaning or interpretation between the original English version of this document and a translation, the original English version takes precedence. This page has been developed and approved by the community and its compliance is mandatory for all users. It must not be modified without prior community approval. |
vigezo Iliundwa kujibu mjadala katika Meta talk:Administrators/confirm—Tizama hapa—na kuchukua nafasi ya mchakato wa uthibitishaji wa msimamizi wa awali.
Mapitio rasmi ya msimamizi yanayo fuata yatafanyika tarehe: 1 Oktoba 2024
Ukurasa huu unahusu utaratibu wakuondoa wasimamizi wa meta wasiofanya kazi kama ilivyoelezwa kwenye Mapitio rasmi ya msimamizi yanayo fuata yatafanyika tarehe: 1 Oktoba 2024
Kigezo cha kuondolewa
- Watumiaji ambao wamefanya mabadiliko chini ya kumi katika miezi sita moja kwa moja kabla ya tarehe ya kuondolewa (aprili 1 au Oktoba 1) huondolewa bila taarifa.
- Watumiaji ambao wamefanya mabadiliko zaidi ya kumi lakini chini ya hatua kumi zinazohitaji upendeleo wa msimamizi (kumbuka, hii inajumuisha mabadiliko kwenye kurasa zinazolindwa, n.k.) katika kipindi kama hicho wanapewa wiki kuashiria kuwa wangependa kuhifadhi ufikiaji wao. Watumiaji katika jamii hii watatakiwa kutaarifiwa siku ya kwanza, na usimamizi huondolewa bila taarifa siku ya saba kama hakuna majibu.
Uondoaji wa sasa
Meta:Administrators/Removal (inactivity)/sw/October 2024
Maelezo
- Tumia /Template/ kwa ujenzi wa kurasa za uondoaji.
- Violezo vya arifa: /RemovalNoticeAutomatic/, /RemovalNoticeProposed/, /RemovalNoticeNoResponse/. (inahitaji kubadilishwa)