Event:Sandbox/Wiki Wadudu
Sandbox/Wiki Wadudu
Start and end time
Location
Online event
The link will be made available by the organizers.
Join event chat group
1 participant
-
Sisimizi ni mdudu wa kweli
-
Bui-bweha ni buibui mwenye sumu; si mdudu wa kweli lakini angala buibui hawako mbali sana na wadudu katika uainishaji
-
Kidudu-dubu ni mdogo sana, hana uhusiano wa karibu na wadudu wa kweli
Utangulizi
editWadudu ni viumbe wa kusataajabisha sana ulimwenguni.Wadudu ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insekta.Wadudu wanashirikiana kuwa na muundo wa mwili chenye pande tatu za kichwa mbele, kidari katikati na fumbatio nyuma, halafu jozi tatu za miguu na kwa kawaida jozi mbili za mabawa. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa khitini yenye kazi ya kiunzi nje.
Historia
editHadi sasa wataalamu waliainisha zaidi ya spishi milioni 1 za wadudu na makadirio ni kwamba kuna spishi nyingi zaidi, labda hadi milioni 30.Wadudu wanaishi takriban kila mahali duniani. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za tropiki na idadi inapungua kwenye baridi. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana Antaktika. Wadudu ni wachache sana baharini lakini hata humo kuna spishi chache.
Makala
edit- Katika warsha hii, tutaandika makala kuhusu:
- Nzige
- Nyuki-bungu mdogo
- Amydria
- Kichuguu
- Pupa