Mawasiliano/Nembo ya Sauti/Mawasilisho

This page is a translated version of the page Communications/Sound Logo/Submissions and the translation is 94% complete.
Outdated translations are marked like this.
Want to help translate? Translate the missing messages.
Sound Logo

Sauti iliyoshinda

28 Machi iko karibu na kona.


 


Matunzio ya kusikiliza

Nembo za sauti 3,235 ziliwasilishwa na washiriki 2,094 katika nchi 135' wakati wa shindano hilo lililochukua mwezi mmoja kuanzia Septemba hadi Oktoba, 2022, Timu iliyojitolea sana ya watu wa kujitolea wa Wikimedia. ilichekecha mawasilisho yote yalipokuwa yanawasilishwa - kwanza kwa urefu, ukiukaji wowote wa hakimiliki wa wazi, na uharibifu dhahiri. Ufafanuzi wa vidokezo vya ubunifu ulikuwa wa kuvutia tu - sauti za umati na ndege, kurasa zikigeuka, kugonga milango, ngoma, kengele, na patu, sauti, mibofyo ya kipanya, na kuandika kwenye kibodi. Hii ni zaidi ya ndoto zetu kali na inathaminiwa sana, asante.

Tulijua watu walifurahi kusikiliza na tulishiriki makundi ya mawasilisho.

Wiki ya kwanza ya mawasilisho

Wiki ya pili ya mawasilisho

Wiki ya tatu ya mawasilisho

Wiki ya mwisho ya mawasilisho na zaidi