Wikimedia Foundation Board of Trustees/Wito wa maoni: Chaguzi za Bodi ya Wadhamini/Jadili Maswali Muhimu
Viungo vya majadiliano kwa kila swali viko hapa chini. Tafadhali jadili maswali katika sehemu hizo ili kila mtu aone kile kinachojadiliwa kuhusu swali hilo. Ikiwa mazungumzo yanafanyika mahali pengine, tafadhali yaorodheshe kwenye jedwali la mazungumzo hapa chini.
Wanajamii wanahimizwa kuongeza suluhu zilizopendekezwa kwa maswali. Tafadhali jadili masuluhisho kwa muda mfupi kwanza kisha upendekeze masuluhisho na uyaunganishe chini ya kila swali. Kwa njia hii wanajamii wengine wanaweza kushirikiana katika suluhu zilizopendekezwa.
Maswali
- Ni ipi njia bora ya kuhakikisha uwakilishi tofauti zaidi kati ya wagombea waliochaguliwa? (Jadili swali hili)
Baraza la Wadhamini lilibaini umuhimu wa kuchagua wagombea ambao wanawakilisha utofauti kamili wa watu mbalimbali katika harakati za Wikimedia. Michakato ya sasa imependelea watu wa kujitolea kutoka Amerika Kaskazini na Ulaya. |
Mapendekezo yanayohusiana na swali hili
- Ongeza pendekezo lako hapa
- Establish a Global Council composed of members elected by regional districts
- Organise this year's affiliate selection by geographic area/constituency.
- Re-define the issue as "diversity of opinion" and not "geographic diversity".
- The Wikimedia Foundation should fund an independent Wikimedia Community Election Committee
- Nini matarajio ya wagombea wakati wa uchaguzi? (Jadili swali hili)
Wagombea wa Bodi kwa kawaida wamekamilisha maombi na kujibu maswali ya jumuiya. Je, uchaguzi unawezaje kutoa maarifa yanayofaa kuhusu wagombea huku pia ukithamini hali ya kuwa wagombea pia ni watu wa kujitolea? |
Mapendekezo yanayohusiana na swali hili
- Ongeza pendekezo lako hapa
- How should affiliates participate in the elections? (Jadili swali hili)
Two seats of the Board of Trustees due to be filled this year were filled in 2019 through the Affiliate-selected Board seats process. A change in the Bylaws removed the distinction between community and affiliate seats. How should affiliates be involved in the selection of new seats? |
Mapendekezo yanayohusiana na swali hili
- Ongeza pendekezo lako hapa
- Have a process determined by affiliates collectively. There is no good reason to exclude affiliates for two main reasons. Firstly, we have a significant decentralisation (regions, hubs) movement which affects mainly affiliates but almost not online communities. Secondly, affiliates were involved in the MCDC election just a few months ago, affiliates is almost the only one without strong English Wikipedia domination, thus removing this group would be disappointing diversity-wise. I think asking affiliates to come up with the (s)election process is the most sensible way to move forward — NickK (talk) 22:59, 16 February 2022 (UTC)
Other proposals
Orodha ya mijadala
Hii ni orodha ya mazungumzo ya awali, ya sasa na yaliyopendekezwa yaliyopangwa katika muktadha wa Wito wa maoni: Uchaguzi wa Baraza la Wadhamini. Ikiwa unapanga mazungumzo, tafadhali yaorodheshe kwenye jedwali hili.
Tarehe | Jina la mradi | Kiungo cha majadiliano | Mwezeshaji | Vidokezo |
---|---|---|---|---|
Kinachoendelea | Meta-Wiki | Discuss the key questions | Movement Strategy and Governance team | Chapisha kwa lugha yoyote |